Bhubaneswar

Bhubaneswar ni jina la mji mkuu wa jimbo la Orissa katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao 650,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 33 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Sehemu ya Mji wa Bhubaneswar


Jiji la Bhubaneswar
Jiji la Bhubaneswar is located in Uhindi
Jiji la Bhubaneswar
Jiji la Bhubaneswar
Mahali pa mji wa Bhubaneswar katika Uhindi
Majiranukta: 20°16′0″N 85°50′0″E / 20.26667°N 85.83333°E / 20.26667; 85.83333
Nchi Uhindi
Jimbo Orissa
Wilaya Khurda
Idadi ya wakazi
 - 647,302
Tovuti: bmc.gov.in

Viungo vya njeEdit


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bhubaneswar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.