Bindura

mji WA Mashonaland,kati mwa Zimbabwe

Bindura ni mji wa Zimbabwe, makao makuu ya mkoa wa Mashonaland ya Kati.

Katika sensa ya mwaka 2012 wakazi walihesabiwa kuwa 46,000.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bindura kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.