Binx

mwimbaji na mwanamuziki wa Afrika Kusini

Binx (alizaliwa 26 Februari, 1992) ni mwimbaji na pia ni mwanamuziki wa nchini Afrika Kusini. [1]

EP yake ya kwanza, The African Bee, ilipokelewa vyema na mashabiki bila kukosolewa. [2] [3]

Maisha hariri

Binx alizaliwa Bianca Carmen Buys huko Elliot, Afrika Kusini mwaka 1992, na kuhamia London Mashariki, Afrika Kusini na familia yake mwaka 2002. [4] [5] Alihamia Manhattan, New York mwaka 2012. [6]

Marejeo hariri

  1. "Live Review: Binx Buys at Webster Hall in New York". www.musicconnection.com. 11 August 2017.  Check date values in: |date= (help)
  2. "Meet Binx: The African Bee". 1 November 2016. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-05-14. Iliwekwa mnamo 2022-05-14.  Check date values in: |date= (help)
  3. "EL's Buys to bring her New York act home". 20 November 2017.  Check date values in: |date= (help)
  4. Phandle, Gugu (1 September 2015). "VIDEO: Starstruck Binx in awe after pre-US Open gig".  Check date values in: |date= (help)
  5. Kingon, Sarah (22 September 2016). "African Bee on a buzz abroad - GO! & Express".  Check date values in: |date= (help)
  6. "PressReader.com - Connecting People Through News". www.pressreader.com. 
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Binx kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.