Biolojia ya molekuli
Tawi la biolojia linaloshughulika na msingi wa molekuli wa shughuli za kibaolojia.
Biolojia ya molekuli ni tawi la biolojia ambalo hujihusisha na misingi ya molekuli katika shughuli za kibiolijia ndani na kati ya seli katika viumbe hai, ambayo huhusisha usanisi wa kimolekuli, mabadiliko na mwingiliano pamoja na uathiriano uliopo kati ya molekuli.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Biolojia ya molekuli kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |