Blanketi la Basotho

ni aina ya pekee ya blanketi ya sufi inayovaliwa na Wasotho huko Lesotho na Afrika Kusini

Blanketi la Basotho ni aina ya pekee ya blanketi ya sufi inayovaliwa na Wasotho huko Lesotho na Afrika Kusini.[1]

Wanawake wa Besotho wakiwa wamevalia blanketi.

Marejeo hariri

  1. "The History of the Basotho traditional blanket - The Blanket Wrap". web.archive.org. 2017-06-03. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-06-03. Iliwekwa mnamo 2022-03-20.