Bob Crosby
George Robert Crosby (23 Agosti 1913 – 9 Machi 1993) alikuwa mwimbaji wa muziki wa jazba na kiongozi wa bendi wa Marekani.
Alifahamika zaidi kwa kundi lake la muziki, The Bob-Cats, ambalo liliundwa karibu mwaka 1935.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Bob Crosby". Hollywood Walk of Fame. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 23, 2017. Iliwekwa mnamo Machi 23, 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bob Crosby kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |