Feb - Machi - Apr
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 9 Machi ni siku ya 68 ya mwaka (ya 69 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 297.

Matukio Edit

Waliozaliwa Edit

Waliofariki Edit

Sikukuu Edit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Fransiska wa Roma, Askari wafiadini wa Kapadokia, Pasiano, Vitale wa Castronovo, Bruno wa Querfurt, Katerina wa Bologna, Dominiko Savio, Petro Ch'oe Hyong na Yohane Mbatizaji Chon Chang-un n.k.

Viungo vya nje Edit

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 9 Machi kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.