Bohdan John Danylo (amezaliwa Giżycko, Polandi, 22 Mei 1971) ni askofu wa [[Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraina nchini Marekani.

Wasifu

hariri

Bohdan John Danylo alianza masomo yake ya upadre huko Polandi ambako alisomea falsafa huko Lublin.[1] Baada ya kuhamia Marekani alimaliza masomo yake ya teolojia katika Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Amerika huko Washington, D.C.

Marejeo

hariri
  1. "Father Bohdan Danylo appointed Bishop of Parma of the Ukrainians". Byzantine Catholic Church in America. Iliwekwa mnamo 2014-12-09.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.