Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraina

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraina (kwa Kiukraina: Українська греко-католицька церква (УГКЦ), Ukrains'ka hreko-katolyts'ka tserkva) ndiyo madhehebu kubwa zaidi kati ya Makanisa Katoliki ya Mashariki (yale yote ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote).

Sviatoslav Shevchuk (kwa Kiukraina: Святосла́в Шевчу́к), Askofu Mkuu Kabisa wa Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraina tangu tarehe 25 Machi 2011.
Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa: Fransisko
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Maaskofu wa Kanisa hilo mwaka 1927.
Undani wa kanisa la Mt. George huko Chervonohrad.
Askofu Paul Patrick Chomnycky huko London, Uingereza.

Mwaka 2014 lilikadiriwa kuwa na waamini 4,468,630 katika parokia 3,993 za Ukraina na za nchi nyingine zaidi ya 12 walipohamia Waukraina katika mabara 4, wakiongozwa na maaskofu 39, mapadri wanajimbo 3,008, mapadri watawa 399 na mashemasi 101. Pia lina watawa wengine wanaume 818 na wanawake 1459 mbali ya waseminari 671.

Linafuata liturujia ya Ugiriki.

Marejeo hariri

  • "Account of the history of the Unia and its disestablishment in 19th Century Russia" in Russian
  • Orientales Omnes Ecclesias, Encyclical on the Reunion of the Ruthenian Church with Rome His Holiness Pope Pius XII, Promulgated on December 23, 1945.
  •   "Greek Catholics in America". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
  • Gudziak, Borys A. (2001). Crisis and Reform: The Kyivan Metropolitanate, The Patriarchate of Constantinople, and the Genesis of the Union of Brest. Harvard University Press. Cambridge, MA.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraina kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.