Bokungu ni mji mkuu wa jimbo la Tshuapa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.[1] Iko katika ukingo wa kulia wa mto Tshuapa, kilomita 256 mashariki mwa mji mkuu wa jimbo Boende.

Bokungu
Bokungu is located in Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Bokungu
Bokungu
Majiranukta: 0°36′44″S 22°18′45″E / 0.61222°S 22.31250°E / -0.61222; 22.31250
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mkoa Tshuapa
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 8,156 (mwaka 2,012)

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bokungu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.