Boma ni mji wa Kongo Kati, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani ilijulikana kama Zaire).

Sehemu ya mji wa Boma (Kongo)

Makadirio ya idadi ya watu ni 162,521 (2012).

Boma ulikuwa mji mkuu wa Kongo ya Kibelgiji hadi mwaka 1926.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

Coordinates: 05°51′00″S 13°03′00″E / 5.85000°S 13.05000°E / -5.85000; 13.05000

  Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Boma (Kongo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.