Bongoland

Filamu ya mwaka 2003 ya Josiah Kibira

Bongoland ni filamu ya Kimarekani/Tanzania ya mwaka 2003 iliyotayarishwa na Josiah Kibira akiwashirikisha Mukama Morandi na Laura Wangsness. Inaelezea hadithi ya mhamiaji haramu wa Kitanzania anayeishi Marekani.[1]

Marejeo Edit

  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bongoland kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.