Boniface Mucheru Tumuti (alizaliwa 2 Mei 1992 [1]) ni mwanariadha wa Kenya ambaye alikimbia mbio na kuruka viunzi. .[2] Alishiriki katika mbio za mita 400 kuruka viunzi katika Michezo ya Olimpiki mwaka 2012 na 2016 na akashinda medali ya fedha mwaka 2016.[3]

Marejeo

hariri
  1. Boniface Mucheru. Sports-Reference
  2. "Boniface Tumuti".
  3. Boniface Mucheru Tumuti Archived 2016-08-23 at the Wayback Machine. rio2016.com
  Makala hii kuhusu Mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Boniface Tumuti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.