Bohri
(Elekezwa kutoka Bori)
Bohri (pia: Bori) ni elementi sintetiki yenye namba atomia 107 kwenye mfumo radidia. Imepewa jina lake kwa heshima ya mwanafizikia Niels Bohr.
Bohri | |
---|---|
Jina la Elementi | Bohri |
Alama | Bh |
Namba atomia | 107 |
Mfululizo safu | metali ya mpito |
Uzani atomia | 262,1229 u |
Valensi | 2, 8, 18, 32, 32, 13, 2 |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Asilimia za ganda la dunia | 0 |
Ni nururifu sana na hadi sasa haina matumizi nje ya utafiti wa kisayansi kutokana nusumaisha yake mafupi mno ambayo ni sekunde 61 tu kwa isotopi yake imara zaidi Bh-270 lakini isotopi nyingine zina nusumaisha mafupi tena.
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bohri kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |