Valensi
kipimo cha uwezo wa kipengele cha kuchanganya na atomi nyingine inapounda misombo ya kemikali au molekuli
Valensi (kwa Kiingereza: valency au valence) ni istilahi ya kemia inayotaja nguvu ya atomu ya kuunda muungo kemia na atomu nyingine. Inataja idadi ya miungo inayoweza kuundwa baina ya atomu ya elementi fulani pamoja na hidrojeni (iliyo elementi sahili zaidi).
Tovuti nyingine
hariri- "Valence" Ilihifadhiwa 24 Agosti 2009 kwenye Wayback Machine. kutoka Kitabu cha Dhahabu cha IUPAC (faili la PDF)
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Valensi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |