Borkou (mkoa wa Chad)

Borkou (Kiarabu: بوركو) ni mkoa wa Chad ambao uliundwa mwaka 2008 kutoka kwa wilaya ya Borkou ya mkoa wa zamani wa Borkou-Ennedi-Tibesti. Mji mkuu wake ni Faya-Largeau.[1]

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Borkou | Sahara Desert, Oasis Towns, Nomadic Tribes | Britannica". www.britannica.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-11-14.


  Makala hii ni sehemu ya warsha ya kuhariri Wikipedia huko MUM. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza habari.