Boubeker Athman (alizaliwa 1 Novemba 1981, Algeria) ni mchezaji wa soka ambapo kwa sasa anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya USM Annaba katika ligi ya Algeria.

Ushiriki katika klabu hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Boubeker Athmani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.