Bow Down (wimbo)
"Bow Down" ni kibao kikuu kilichotoka katika albamu ya kwanza ya kundi zima la Westside Connection, yenye jina sawa.
“Bow Down” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Westside Connection kutoka katika albamu ya Bow Down | |||||
B-side | "Hoo-Bangin'" | ||||
Imetolewa | Agosti 28, 1996 | ||||
Muundo | CD single, digital download | ||||
Imerekodiwa | 1995 | ||||
Aina | Gangsta Rap, West coast hip hop | ||||
Urefu | 3:27 | ||||
Studio | Priority | ||||
Mtunzi | O'Shea Jackson, Dedrick Rolison, William Calhoun | ||||
Mtayarishaji | Bud'da | ||||
Mwenendo wa single za Westside Connection | |||||
|
Wimbo umekuwa wenye mafanikio makubwa kutoka kwa kundi hili, ukishika nambari 21 kwenye chati za Billboard Hot 100, huku ikishika nafasi ya kwanza kwenye chati za rap. Ukiwa miongoni mwa wimbo maarufu kutoka katika nyimbo za West Coast, kibao hiki kimeonekana mara kadhaa katika makompilesheni kadha wa kadha, ikiwa ni pamoja na Featuring...Ice Cube, The N.W.A Legacy, Vol. 1 na albamu ya Vibao Vikali ya Ice Cube ya 2001, na nyinginezo. Pia wimbo upo katika filamu ya mwaka wa 2002, The Hot Chick.
Historia ya chati
haririNafasi iliyoshika
haririChati (1997) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Billboard Hot 100 | 21 |
Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks | 19 |
Billboard Hot Rap Singles | 1 |
Billboard Hot Dance Music/Maxi-Singles Sales | 8 |
Billboard Rhythmic Top 40 | 39 |
Chati za mwishoni mwa mwaka
haririChati ya mwisho wa mwaka (1996) | Nafasi |
---|---|
Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles [1] | 98 |
Billboard Hot Rap Singles[2] | 18 |
Marejeo
hariri- ↑ "Billboard Year-End Hot R&B/Hip-Hop Singles - 1996". Iliwekwa mnamo 2011-11-17.
- ↑ "Billboard Year-End Hot Rap Singles - 1996". Iliwekwa mnamo 2011-11-17.