Brad Abbott
Bradley Ian Abbott (alizaliwa 24 Desemba 1994) ni mwanakandanda raia wa Uingereza anaye cheza nafasi ya kiungo kwenye ligi daraja la kwanza kasikazini mwanchi ya Uingereza katika klabu ya Cleethorpes Town.
Maisha ya Kandanda
haririAbbott alianza safari yake ya uchezaji wa kandanda Barnsley FC, mwezi wa 11 mwaka 2013 alitolewa kwa mkopo Harrogate Town. Alicheza michezo saba pekee kabla ya kurejea Barnsley kutokana na kupata jeraha la mgongo.[1] Mnamo Mei 2014 alisaini mkataba mpya na Barnsley FC.[2] Ilipofika mwezi wa 3 mwaka 2016 alisaini mkataba kuitumikia Barrow kwa mkopo hadi mwishoni mwa msimu.[3]
Abbott aliachana na Barnsley tarehe 12 Mei 2016.[4]
Marejeo
hariri- ↑ https://web.archive.org/web/20140907165927/http://www.harrogatetownafc.com/team/the-team/member/brad-abbott/
- ↑ http://www.barnsleyfc.co.uk/news/article/brad-abbott-signs-new-contract-at-barnsley-fc-27052014-1574732.aspx
- ↑ https://web.archive.org/web/20160331082336/http://www.barrowafc.com/barrow-get-abbott/
- ↑ http://www.barnsleyfc.co.uk/news/article/club-statement-development-squad-player-update-3110641.aspx