Bressanone (kwa Kijerumani: Brixen) ni mji wa mkoa wa Trentino-Alto Adige (Italia kaskazini) wenye wakazi 20,677 (sensa ya mwaka 2011).

Bressanone,italia

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bressanone kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.