Brian Kobilka (amezaliwa 30 Mei, 1955) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Amejulikana hasa kwa utafiti na usanisi wa vipokezi vya adrenalini. Mwaka wa 2012, pamoja na Robert Lefkowitz, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Brian Kobilka
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brian Kobilka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.