Brittany Lee Lewis

Mwanaharakati wa Marekani, mwalimu, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na mshiriki wa shindano la urembo

Brittany Lee Lewis (alizaliwa Brigantine, New Jersey, Julai 21, 1990) ni mwanaharakati, mchambuzi wa masuala ya siasa, diski joki (DJ).

Alikuwa Miss Delaware mwaka 2014, na Miss Black America mwaka 2017 [1]. Lewis alitawazwa kuwa Miss Black America wa 49 mwaka wa 2017 na alishiriki katika Miss Amerika kama Miss Delaware mnamo 2014. Yeye pia ni mtoa maoni wa mara kwa mara kwenye RT America, Roland Martin Show, Fox5DC, na programu mbalimbali za Sinclair Broadcasting.[2]

Marejeo hariri

  1. "N.J. woman is not just a pageant winner – she's a Miss America scholar", The Inquirer. Retrieved on April 12, 2019. 
  2. RT America (January 20, 2020). "NY Times endorsement: 'Patronizing' to women?". YouTube. Iliwekwa mnamo June 17, 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brittany Lee Lewis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.