New Jersey
New Jersey (Jersey Mpya) ni jimbo la kujitawala la Muungano wa Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu ni Trenton lakini mji mkubwa ni Newark. Uko kwenye pwani ya Atlantiki upande wa mashariki ya Marekani bara.
New Jersey | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Trenton | ||
Eneo | |||
- Jumla | 22,588 km² | ||
- Kavu | 19,211 km² | ||
- Maji | 3,377 km² | ||
Tovuti: http://www.nj.gov/ |
Impepakana na New York, Delaware na Pennsylvania. Upande wa mashariki maji ya Atlantiki.
Jimbo lina wakazi wapatao 8,682,661 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 22,608.
New Jersey ilikuwa koloni ya Uingereza tangu 1729 na pia moja kati ya koloni 13 zilizoasi dhidi ya Uingereza mwaka 1776 na kuunda nchi mpya ya Marekani tangu 1778.
Viungo vya Nje
hariri
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya New Jersey bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu New Jersey kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |