Brooklyn Nets
Timu ya mpira wa kikapu ya Marekani
Brooklyn Nets ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Brooklyn. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Kyrie Irving, Kevin Durant.
Viungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Brooklyn Nets kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |