Bruce Springsteen

Bruce Frederick Joseph Springsteen (amezaliwa tar. 23 Septemba 1949) ni mtunzi wa nyimbo, mwimbaji na mpigaji gitaa wa Kimarekani. Amefaya rekodi nyingi tu, na huwa anafanya safari za kimuziki akiwa pamoja na bendi yake ya muziki iitwayo E Street Band.

Bruce Springsteen.

MuzikiEdit

Albamu na chati iliyoshika (US Billboard 200):

Viungo vya njeEdit


  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bruce Springsteen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.