Bruno Rodriguez (mwanaharakati)

kiongozi wa harakati za Fridays for Future huko Argentina

Bruno Rodriguez ni mwanaharakati wa hali ya hewa kutoka Argentina.[1][2]

Ndiye kiongozi wa Fridays for Future huko Argentina.[3][4]

Alikuwa mjumbe katika Mkutano wa Vijana wa Umoja wa Mataifa wa Hali ya Hewa wa 2019.[5][6]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bruno Rodriguez (mwanaharakati) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.