Bruno Tognaccini
Bruno Tognaccini (13 Desemba 1932 – 13 Agosti 2013) alikuwa mpanda baiskeli kutoka Italia. [1] Alishinda hatua ya 11 ya Giro d’Italia ya mwaka wa 1956. [2]
Marejeo
hariri- ↑ "Bruno Tognaccini". Cycling Archives. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-01-28. Iliwekwa mnamo 12 Mei 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Giro d'Italia 1956". Cycling Archives. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-28. Iliwekwa mnamo 12 Mei 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bruno Tognaccini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |