Bubu Mazibuko

Muigizaji wa kike wa Afrika kusini

Bubu Mazibuko ni mcheza filamu wa kike wa Afrika Kusini.[1][2] akitokea katika filamu ya mwaka 2006 iitwayo Catch a Fire.[3] alianza kuonekana katika tamthilia ya Gaz'lam (2002-2005),[4] pia aliwahi kuchaguliwa kuingia katika tuzo ya Duku Duku kama mchezaji na muigizaji bora wa filamu wa kike .[5] Kwa kiwango bora cha uigizaji katika filamu ya Man on Ground (2011), Mazibuko alichaguliwa tena kuingia katika tuzo ya Africa Magic Viewers' Choice Awards kama muigizaji bora wa kike.[6][7]

Ameolewa na Langa Masina tangu mwaka 2016.[8][9]

Filamu

hariri
  • Catch a Fire (2006)
  • Gangster's Paradise: Jerusalema (2008)
  • A Small Town Called Descent (2010)
  • Man on Ground (2011)
  • Mandela: Long Walk to Freedom (2013)

Marejeo

hariri
  1. Faeza. "'Gaz'lam' star Bubu Mazibuko's gorgeous bridal shower", News24, 26 January 2016. Retrieved on 17 August 2019. Archived from the original on 2019-08-17. 
  2. Zeeman, Kyle (7 Juni 2016). "Joburg set to 'crumble' in new movie starring Desmond Dube and Bubu Mazibuko". The Times (South Africa). Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Willis, John; Monush, Barry (2010). Screen World 2007. Hal Leonard Corporation. ISBN 9781557837295.page 299
  4. "Gaz'lam kept on the boil", Independent Online (South Africa), 10 February 2005. Retrieved on 17 August 2019. 
  5. "Round four, put up your dukes", Independent Online (South Africa), 7 November 2002. Retrieved on 17 August 2019. 
  6. "AfricaMagic Awards nominees announced". Yahoo!. 30 Januari 2013. Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. Arogundade, Funsho (1 Februari 2013). "AMVCA: Emelonye's Mirror Boy Leads The Pack". P.M. News. Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. Drum Digital. "Bubu Mazibuko ties the knot", [News24], 2 February 2016. Retrieved on 17 August 2019. Archived from the original on 2019-08-17. 
  9. "Inside Bubu Mazibuko's big day", News24, 1 February 2016. Retrieved on 17 August 2019. 
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bubu Mazibuko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.