2006
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 20 |
Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1970 |
Miaka ya 1980 |
Miaka ya 1990 |
Miaka ya 2000
| Miaka ya 2010
◄◄ |
◄ |
2002 |
2003 |
2004 |
2005 |
2006
| 2007
| 2008
| 2009
| 2010
| ►
| ►►
Jan.
| Feb.
| Mac.
| Apr.
| Mei
| Jun.
| Jul.
| Ago.
| Sep.
| Okt.
| Nov.
| Des.
Makala hii inahusu mwaka 2006 BK (Baada ya Kristo).
Matukio hariri
Waliozaliwa hariri
Kalenda ya Gregori | 2023 MMXXIII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5783 – 5784 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2776 |
Kalenda ya Ethiopia | 2015 – 2016 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1472 ԹՎ ՌՆՀԲ |
Kalenda ya Kiislamu | 1445 – 1446 |
Kalenda ya Kiajemi | 1401 – 1402 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2078 – 2079 |
- Shaka Samvat | 1945 – 1946 |
- Kali Yuga | 5124 – 5125 |
Kalenda ya Kichina | 4719 – 4720 壬寅 – 癸卯 |
Waliofariki hariri
- 4 Januari - Maktoum bin Rashid Al Maktoum, Waziri Mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu na mtawala wa Dubai
- 28 Februari - Owen Chamberlain (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1959)
- 7 Machi - Gordon Parks, msanii wa Marekani
- 7 Machi - Ali Farka Toure, mwanamuziki kutoka nchi ya Mali
- 11 Machi - Slobodan Milosevic, Rais wa Serbia (1989-2000)
- 20 Machi - Ali Muhsin al-Barwani, mwanasiasa kutoka Zanzibar
- 29 Machi - Moshi William, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 19 Aprili - Ellen Kuzwayo, mwandishi kutoka Afrika Kusini
- 13 Mei - Peter Viereck, mshairi kutoka Marekani
- 14 Mei - Stanley Kunitz, mshairi kutoka Marekani
- 14 Mei - Robert Merrifield, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1984
- 31 Mei - Raymond Davis, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2002
- 4 Julai - Lars Korvald, mwanasiasa kutoka Norwei
- 11 Agosti - Mazisi Kunene, mwandishi kutoka Afrika Kusini
- 19 Agosti - Joseph Hill, mwimbaji kutoka Jamaika
- 28 Agosti - Melvin Schwartz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1988)
- 30 Agosti - Nagib Mahfuz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1988)
- 9 Oktoba - Marek Grechuta, mwanamuziki kutoka Poland
- 12 Oktoba - Wanjiru Kihoro, mwandishi kutoka Kenya
- 31 Oktoba - Pieter Willem Botha, Waziri Mkuu na Rais wa Afrika Kusini
- 1 Novemba - William Styron, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1968
- 26 Desemba - Gerald Ford, Rais wa Marekani (1974-1977)
- 30 Desemba - Saddam Hussein, rais wa Iraki hadi mwaka 2003, ananyongwa baada ya kuhukumiwa adhabu ya kifo kwa makosa ya jinai dhidi ya binadamu