Bugamba ni kituo kilichopo mijini katika mkoa wa magharibi mwa Uganda ni moja ya vituo vya biashara katika Wilaya ya Mbarara.[1].

Ramani ya eneo la Uganda
majira nukta (0°43'57.0"S, 30°30'58.0"E (Latitude:-0.732500; Longitude:30.516111))

Mahali ilipo

hariri

Bugamba ipo katika kaunti ndogo ya Bugamba, Kaunti ya Rwampara, Wilaya ya Mbarara, takribani kilomita 20 kutokea kusini magharibi mwa Mbarara ambalo ndio jiji kubwa lililo karibu na eneo la makao makuu ya wilaya.[2] pia ni takribani kilomita 44.5 kutokea kaskazini magharibi mwa mji wa Kikagati katika mpaka wa kimataifa na Tanzania.[3] , Bugamba inapatikana katika majira nukta (0°43'57.0"S, 30°30'58.0"E (Latitude:-0.732500; Longitude:30.516111))[4].

Marejeo

hariri
  1. Mindat.org (Machi 2020). "Bugamba, Rwampara County, Mbarara District, Western Region, Uganda". Keswick, Virginia, United States: Mindat.org. Iliwekwa mnamo 11 Machi 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Globefeed.com (11 Machi 2020). "Distance between Mbarara, Mbarara District, Uganda and Bugamba, Mbarara District, Uganda". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 11 Machi 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Globefeed.com (11 Machi 2020). "Distance between Bugamba, Mbarara District, Uganda and Kikagati, Isingiro District, Uganda". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 11 Machi 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Kigezo:Google maps