Bujiku Philip Sakila

Bujiku Philip Sakila (amezaliwa tar. 6 Desemba 1951) ni mbunge wa jimbo la Kwimba katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Bujiku Philip Sakila". 19 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.