Mark Anthony Myrie (anajulikana kitaaluma kama Buju Banton, amezaliwa 15 Julai 1973)[1] ni mwimbaji wa dancehall na reggae kutoka Jamaika. Yeye ni mmoja wa wasanii muhimu na wenye heshima kubwa katika muziki wa nchi hiyo.[2][3][4]

Banton ameshirikiana na wasanii wengi wa kimataifa, ikiwa ni pamoja na wale katika nyanja za hip hop, muziki wa Latin na punk rock, pamoja na wana wa Bob Marley.[5]

Marejeo

hariri
  1. Larkin, Colin (1998) "The Virgin Encyclopedia of Reggae", Virgin Books, ISBN 0-7535-0242-9
  2. "'Man is a king': controversial star Buju Banton comes home to Jamaica", 7 December 2018. 
  3. Karmini, Faith (9 Desemba 2018). "Jamaican reggae star Buju Banton released from US prison". Cnn.com. Iliwekwa mnamo 26 Februari 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Reggae star Buju Banton released from prison after Florida drug case", 7 December 2018. 
  5. "Biography". Bujubanton.com (kwa American English). 7 Mei 2018. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Agosti 2018. Iliwekwa mnamo 17 Desemba 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)