Bunge la Kenya ni bunge lenye vyumba viwili[1] ambavyo ni:

Majengo ya Bunge la Kenya na Uhuru Park, Nairobi.

Kabla ya katiba mpya, bunge lilikuwa la chumba kimoja.

Bunge hili lilianzia muhula wake wa kumi na mbili tarehe 8 Agosti 2017.

Wajumbe hukutana katika majengo ya bunge, Nairobi.

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Establishment and role of Parliament". parliament.go.ke. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-04-01. Iliwekwa mnamo 30 Machi 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje hariri