8 Septemba
tarehe
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 8 Septemba ni siku ya 251 ya mwaka (ya 252 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 114.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 801 - Mtakatifu Ansgar, Askofu wa Hamburg
- 1380 - Mtakatifu Bernardino wa Siena, padri wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1830 - Frederic Mistral, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1904
- 1841 - Antonín Dvořák, mtunzi wa muziki kutoka Ucheki
- 1918 - Derek Barton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1969
- 1941 - Bernie Sanders, mwanasiasa kutoka Marekani
- 1946 - Aziz Sancar, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2015
- 1947 - Amos Biwott, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Kenya
- 1971 - Richie Spice, mwanamuziki kutoka Jamaika
Waliofariki
hariri- 1654 - Mtakatifu Petro Claver, S.I., padri mmisionari kutoka Hispania
- 1949 - Richard Strauss, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1965 - Hermann Staudinger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1953
- 1980 - Willard Libby, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1960
- 1981 - Hideki Yukawa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1949
- 1985 - John Enders, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1954
- 2007 - Shenazi Salum, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya Kuzaliwa Bikira Maria, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Adriano wa Nikomedia, Fausto, Dio na Amoni, Isaka Mkuu, Papa Sergio I, Korbiniani, Petro wa Chavanon, Tomaso wa Villanova n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Archived 1 Januari 2008 at the Wayback Machine.
- On this day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 8 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |