Bunny McDiarmid (alizaliwa Christchurch, 1957) ni mwanaharakati wa mazingira nchini New Zealand. Akiwa, pamoja na Jennifer Morgan ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali la Greenpeace International tangu tarehe 4 Aprili 2016.[1][2][3]

Amekuwa mwanaharakati kwa zaidi ya miaka 30, akiongoza kampeni za kitaifa na kimataifa .[4][5][6] Alianza kazi yake katika shirika lisilo la kiserekali la Greenpeace kama mfanyakazi wa kujitolea kwenye kitengo cha Rainbow Warrior mnamo mwaka 1984.

Marejeo

hariri
  1. "Bunny McDiarmid", Greenpeace International. (en-GB) 
  2. "Greenpeace's Bunny McDiarmid dishes on lawsuits, sinking ships and Trump", National Observer, 2017-06-19. (en) 
  3. "Bunny McDiarmid: Big oil destructive in more ways than one", NZ Herald, 2017-11-14. (en-NZ) 
  4. "Top court rules Greenpeace can register as charity", The National Business Review, 2014-08-06. Retrieved on 2023-04-24. (en) Archived from the original on 2018-08-01. 
  5. "Greenpeace hauls down flag at sea, heads for court", The National Business Review, 2013-11-26. Retrieved on 2023-04-24. (en) Archived from the original on 2022-05-06. 
  6. "Greenpeace NZ to appeal ruling against charity status", The National Business Review, 2012-09-03. Retrieved on 2023-04-24. (en) Archived from the original on 2022-05-06. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bunny McDiarmid kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.