Bust It Baby
"Bust It Baby" ni wimbo wa msanii Plies akimshirikisha Ne-Yo. Wimbo ulitolewa mnamo tar. 25 Januari 2008. Huu ni wimbo wa pili wa Plies kutoka katika albamu yake ya Definition of Real. Huu ulifanywa kama wimbo wa ziada kwenye albamu yake, wakati "Bust It Baby Pt. 2" ukawa wimbo rasmi wa albamu.
“Bust It Baby Pt. 2” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Plies akimshirikisha Ne-Yo kutoka katika albamu ya Definition of Real | |||||
Imetolewa | Desemba 2007 | ||||
Muundo | CD single, Digital download | ||||
Imerekodiwa | 2007 | ||||
Aina | Southern hip hop, R&B, dirty rap | ||||
Urefu | 4:00 | ||||
Studio | Atlantic, Big Gates, Slip-n-Slide | ||||
Mtunzi | Algernod Washington, Shaffer Smith | ||||
Mtayarishaji | J. R. Rotem | ||||
Certification | Gold (RIAA) | ||||
Mwenendo wa single za Plies | |||||
|
|||||
Mwenendo wa single za Ne-Yo | |||||
|
Pia kulikuwa na remix nyingine imemshirikisha Trey Songz. Remix yake imechukuwa sampuli ya wimbo wa zamani wa Janet Jackson wa mwaka 1990 maarufu kama "Come Back to Me".[1] Kuna remix nyingine ambayo imemshirikisha Janet mwenyewe.
Chati
haririChati (2008) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Japan Hot 100 Singles | 79 |
New Zealand Singles Chart[2] | 9 |
U.S. Billboard Hot 100[3] | 7 |
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs[3] | 2 |
U.S. Billboard Hot Rap Tracks[3] | 2 |
U.S. Billboard Pop 100[3] | 20 |
UK Singles Chart | 81 |
Marejeo
hariri- ↑ The New York Times (16 Juni 2008). Critics’ Choice - New CDs The New York Times. Accessed 23 Septemba 2008.
- ↑ "Plies and Ne-Yo - Bust It Baby (part 2) - Music Charts". αCharts. Iliwekwa mnamo 2009-04-06.
- ↑ 3.0 3.1 3.2 3.3 "Artist Chart History - Plies - Singles". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-19. Iliwekwa mnamo 2009-04-06.