Ne-Yo
Shaffer Chimere Smith (amezaliwa tar. 18 Oktoba 1979)[2] ni mwimbaji, mtunzi, mtyarishaji, mnenguaji, mwigizaji na pia rapa kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ne-Yo. Yeye ni Mwafro-Asia ambaye amechanganya kati ya Mmarekani Mweusi (baba) na Mchina-Mweusi (mama).
Ne-Yo | |
---|---|
Ne-Yo mnamo Januari 2013
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Shaffer Chimere Smith |
Amezaliwa | 18 Oktoba 1979 [1] |
Asili yake | Camden, Arkansas|Camden, Arkansas, Marekani |
Aina ya muziki | Soul R&B, pop, hip hop, pop dansi, neo soul |
Kazi yake | Mtunzi, mwimbaji, mtayarishaji wa rekodi, rapa, mnenguaji, mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1999–hadi leo |
Studio | Def Jam |
Ame/Wameshirikiana na | Rihanna |
Tovuti | Tovuti yake rasmi |
Wasifu
haririMaisha ya awali
haririMuziki
haririAlbamu zake
hariri- In My Own Words (2006)
- Because of You (2007)
- Year of the Gentleman (2008)
- Libra Scale (2010)
- R.E.D. (2012)
- Non-Fiction (2015)
Filamu
haririFilamu za kawaida
hariri- Save the Last Dance 2 (2006)
- Stomp The Yard (2007)
- Steppin' (2007)
- Battle : LA (2011)
- Red Tails (2012)
Mwonekano wake katika TV
hariri- Las Vegas (2008)
- All My Children (2008)
Maelezo
hariri- ^ Montgomery, James (2 Machi 2006). "Hawthorne Heights' Anti-Ne-Yo Campaign 'A Joke,' Label Claims " Ilihifadhiwa 16 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.. MTVnews.com
- ^ Source for UK release date of "Stay".
Marejeo
hariri- ↑ http://www.contactmusic.com/ne-yo/
- ↑ Tavis Smiley (original airdate 23 Juni 2008 on PBS). Interview with Ne-Yo. Ilihifadhiwa 21 Oktoba 2008 kwenye Wayback Machine. Accessed 9 Septemba 2008.
Viungo vya nje
hariri- Official Site
- Ne-Yo katika MySpace
- Ne-Yo at the Internet Movie Database
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ne-Yo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |