Butembo

Mji wa Kidemokrasia ya Kongo


Butembo ni mji wa mkoa wa Kivu Kaskazini, mashariki kaskazini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani ilijulikana kama Zaire).

Muonekano wa mji Butembo

Makadirio ya idadi ya watu ni 670,285 (2012)[1].

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Superficie et densié de la population en 2013". Bulletin Annuel des Statistiques Sociales, Province du Nord-Kivu (2013): 19. Novemba 2014.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

hariri
  • Butembo in Google Maps
  • YouTube Video of Nella Star (2007) Video by Godfried van Loo following Dutch sociologist/anthropologist Nella Star when going back to Butembo after over 30 years. With a lot of footage from the city Butembo and surroundings. Dutch/French spoken and subtitled.

0°09′N 29°17′E / 0.150°N 29.283°E / 0.150; 29.283

  Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Butembo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.