Butterflies (wimbo wa Michael Jackson)
"Butterflies" ni wimbo wa msanii wa rekodi za muziki Michael Jackson. Wimbo umetungwa na Marsha Ambrosius na mtayarishaji Andre Harris. Jackson alisema kwamba huu ndiyo wimbo wake kipenzi kutoka katika albamu ya Invincible.[1] Wimbo hasa ulitungwa kunako mwaka wa 1997 wakati huo Ambrosius yupo shule. Toleo halisi la wimbo huu linaweza kupatikana kwenye toleo la UK la Floetry, Floetic na kuonekana tena toleo lilelile kwenye albamu ya Jackson ya mwaka wa 2001.
“Butterflies” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Invincible | |||||
Imetolewa | 8 Novemba 2001 U.S. Billboard Hot 100 | ||||
Imerekodiwa | 2001 | ||||
Aina | R&B | ||||
Urefu | 4:40 (toleo la aalbam) 3:44 (Master Mix Feat. Eve) | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | Marsha Ambrosius Andre Harris | ||||
Mtayarishaji | Michael Jackson na Andre Harris | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
Orodha ya nyimbo
haririCD Promo ESK 54863
- Butterflies (4:40)
12" Promo EAS 56719
- Master Mix (Feat. Eve)
- Michael A Cappella
- Eve A Cappella
- Instrumental
Chati
haririChati (2001) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
U.S. Billboard Hot 100 | 14 |
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs | 2 |
Marejeo
hariri- ↑ Butterflies Songfacts. Songfacts.com
Viungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Butterflies (wimbo wa Michael Jackson) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |