Invincible (albamu ya Michael Jackson)
Invincible ni albamu ya kumi ya mwimbaji, mwanamuziki, mtayarishaji wa rekodi, mfanyabishara, na mhisani wa Marekani, Michael Jackson. Albamu ilitolewa na studio ya Epic Records mnamo tar. 30 Oktoba 2001, miaka sita tangu kutolewa kwa albamu yake ya 1995 yenye matoleo mawili kwa pamoja, HIStory. Albamu hii imeingiza nyimbo mpya tu tangu kutolewa kwa albamu ya Dangerous mnamo mwaka wa 1991. Kasha la aalbamu, lina picha ya sura ya Jackson, inapatika katika rangi tano tofauti - nyekundu, kijani, chungwa, buluu na fedha. Hadi leo, albamu imekadiriwa kuuza kati ya nakala milioni 8 - 12 kwa hesabu ya dunia nzima.
Invincible | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Michael Jackson | |||||
Imetolewa | 30 Oktoba 2001 | ||||
Imerekodiwa | Oktoba 1997 – Juni 2001 | ||||
Aina | Contemporary R&B, pop/rock, dance-pop, adult contemporary, urban[1] | ||||
Urefu | 77:08 | ||||
Lebo | Epic Records EK-69400 |
||||
Mtayarishaji | Michael Jackson, Rodney Jerkins, Teddy Riley, Kenneth "Babyface" Edmonds, R. Kelly, Dr. Freeze | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Michael Jackson | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Invincible | |||||
|
Matayarisho
haririAlbamu imekuwa ya kwanza kutoa nyimbo zoote mpya tangu kutolewa kwa albamu ya Dangerous ya mwaka wa 1991.[2] Katika upande wa utayarishaji ulishikiriwa na wasanii kadhaa kama vile Rodney Jerkins, R. Kelly na mwanachama wa zamani wa kundi la muziki wa R&B la Jodeci, DeVante Swing. Mtayarishaji wa hip hop Dr. Dre naye aliombwa atayarishe albamu, lakini alikataa.[3]
Orodha ya nyimbo
haririInvincible | |||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
# | Jina | Mtunzi (wa) | Urefu | ||||||
1. | "Unbreakable" (Akimshirikisha The Notorious B.I.G.; sauti za nyuma zimefanywa na Brandy Norwood) | Jackson, Daniels, Jerkis, Payne, Smith, Wallace | 6:26 | ||||||
2. | "Heartbreaker" | Jackson, Jerkins, Jerkins III, Daniels, Mischke, Gregg | 5:09 | ||||||
3. | "Invincible" | Jackson, Daniels, Gregg, Jerkins, Jerkins | 4:46 | ||||||
4. | "Break of Dawn" | Jackson, Dr. Freeze | 5:32 | ||||||
5. | "Heaven Can Wait" | Jackson, Riley, Heard, Smith, Beal, Laues, Quiller | 4:49 | ||||||
6. | "You Rock My World" (Introductory skit featuring Chris Tucker) | Jackson, Daniels, Jerkins, Jerkins, Payne | 5:39 | ||||||
7. | "Butterflies" (Akimshirikisha Marsha Ambrosius) | Harris, Ambrosius | 4:40 | ||||||
8. | "Speechless" | Jackson | 3:18 | ||||||
9. | "2000 Watts" | Jackson, Riley, Gibson, Henson | 4:24 | ||||||
10. | "You Are My Life" | Jackson, Babyface, Sager, McClain | 4:33 | ||||||
11. | "Privacy" | Jackson, Belle, Daniels, Jerkins, Jerkins | 5:05 | ||||||
12. | "Don't Walk Away" | Jackson, Riley, Stites, Vertelney | 4:24 | ||||||
13. | "Cry" (Cry pia uliitwa (We Can Change The World)) | R. Kelly | 5:00 | ||||||
14. | "The Lost Children" | Jackson | 4:00 | ||||||
15. | "Whatever Happens" (Gitaa na Carlos Santana) | Jackson, Riley, Quay, Williams | 4:56 | ||||||
16. | "Threatened" (contains snippets from Rod Serling) | Jackson, Jerkins, Jerkins III, Daniels | 4:18 | ||||||
77:08 |
Chati zake
haririChati (2001/2002) | Nafasi iliyoshika |
Matunukio | Mauzo/Upelekaji wa nchi za nje |
---|---|---|---|
Australian Albums Chart | 1[4] | 2x Platinum [5] | 140,000 |
Austrian Albums Chart | 2[6] | Gold[7] | 20,000 |
Canadian Top 50 | 3 | Uncertified [8] | <50,000 |
Danish Albums Chart | 1[9] | Gold | 25,000 |
Dutch Albums Chart | 1[10] | Platinum[11] | 80,000 |
Finnish Albums Chart | 7[12] | Gold[13] | 16,621 |
French Albums Chart | 1[14] | 2x Platinum | 575,000[15] |
German Albums Chart | 1 | Platinum[16] | 300,000 |
Japanese Albums Chart | 5 | Platinum | 200,000[17] |
Norwegian Albums Chart | 1[18] | Platinum[19] | 50,000 |
Portuguese Albums Chart | 8[20] | Gold[21] | 20,000 |
Swedish Albums Chart | 1[22] | Gold | 40,000 |
Turkish Albums Chart | 1[22] | Platinum | 120,000 |
U.S. Billboard 200 | 1 | 2x Platinum[23] | 9,100,000[24][25][26] |
UK Albums Chart | 1 | Platinum[27] | 350,000 |
Marejeo
hariri- ↑ "Invincible". AllMusic. Iliwekwa mnamo 2009-04-27.
- ↑ Hiatt, Brian (21 Desemba 2000). "Michael Jackson Nearing Completion Of New LP". MTV. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-06-19. Iliwekwa mnamo 2009-06-22.
- ↑ Moss, Corey (10 Januari 2001). "Dre Passes On Michael Jackson Project". MTV. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-06-28. Iliwekwa mnamo 2009-06-22.
- ↑ australian-charts.com - Michael Jackson - Invincible
- ↑ ARIA Charts - Accreditations - 2001 Albums
- ↑ Michael Jackson - Invincible - austriancharts.at
- ↑ "IFPI Austria - Verband der Österreichischen Musikwirtschaft". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-06. Iliwekwa mnamo 2009-07-04.
- ↑ https://web.archive.org/web/20160111074458/http://www.cria.ca/cert_db_search.php. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-11. Iliwekwa mnamo 2009-07-04.
{{cite web}}
: Missing or empty|title=
(help) - ↑ "danishcharts.com - Michael Jackson - Invincible". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-06-30. Iliwekwa mnamo 2009-07-04.
- ↑ dutchcharts.nl - Michael Jackson - Invincible
- ↑ "NVPI, de branchevereniging van de entertainmentindustrie - Goud/Platina". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-08. Iliwekwa mnamo 2009-07-04.
- ↑ finnishcharts.com - Michael Jackson - Invincible
- ↑ "IFPI". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-20. Iliwekwa mnamo 2009-07-04.
- ↑ lescharts.com - Michael Jackson - Invincible
- ↑ http://fanofmusic.free.fr/ParcoursAlbum-M.php "France Sales"
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-30. Iliwekwa mnamo 2009-07-04.
- ↑ Sony Music Online Japan: ƒ}ƒCƒPƒ‹ EƒWƒƒƒNƒ\ƒ“ : ƒCƒ“ƒtƒHƒ [ƒVƒ‡ƒ“
- ↑ norwegiancharts.com - Michael Jackson - Invincible
- ↑ "IFPI Norsk platebransje". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-10. Iliwekwa mnamo 2009-07-04.
- ↑ portuguesecharts.com - Michael Jackson - Invincible
- ↑ "Artistas & Espectáculos 2008 . Top Associação Fonográfica Portuguesa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-10. Iliwekwa mnamo 2009-07-04.
- ↑ 22.0 22.1 http://www.hitlistan.se/ "Week 45, 2001"
- ↑ RIAA
- ↑ Michael Jackson may incur financial problems - 21 Novemba 2003
- ↑ USATODAY.com - Jackson's freedom isn't free
- ↑ Michael Jackson Faces Daunting Road Back to Pop Glory - New York Times
- ↑ "Platinum". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-04-09. Iliwekwa mnamo 2009-07-04.
Vyanzo zaidi
hariri- George, Nelson (2004). Michael Jackson: The Ultimate Collection booklet. Sony BMG.
- Taraborrelli, J. Randy (2004). The Magic and the Madness. Terra Alta, WV: Headline. ISBN 0-330-42005-4.