Bwabwaja
Bwabwaja koo-njano
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Charadriiformes (Ndege kama vitwitwi)
Familia: Glareolidae (Ndege walio na mnasaba na bwabwaja)
Ngazi za chini

Jenasi 2:

Bwabwaja ni ndege wa jenasi Glareola na Stiltia katika familia ya Glareolidae. Umbo na mwenendo yao inafanana na mbayuwayu. Wana mabawa marefu yaliyochongoka, miguu mifupi na mkia mwenye panda. Hukamata wadudu wakipuruka na hutaga mayai yao chini.

Spishi za Afrika hariri

Spishi za mabara mengine hariri

Picha hariri