César Milstein (8 Oktoba 192724 Machi 2002) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Argentina. Hasa alichunguza kinga za mwili dhidi ya virusi mbalimbali. Mwaka wa 1984, pamoja na Niels Jerne na Georges Köhler alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

César Milstein
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu César Milstein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.