8 Oktoba
tarehe
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 8 Oktoba ni siku ya 281 ya mwaka (ya 282 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 84.
Matukio hariri
Waliozaliwa hariri
- 1883 - Otto Warburg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1931
- 1917 - Rodney Porter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1972
- 1918 - Jens Skou, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1997
- 1927 - César Milstein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1984
- 1954 - Michael Dudikoff, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1965 - Iddi Mohamed Azzan, mwanasiasa wa Tanzania
- 1970 - Matt Damon, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1979 - Kristanna Loken, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki hariri
- 391 - Mtakatifu Felisi wa Como, askofu
- 1317 - Fushimi, mfalme mkuu wa Japani (1287-1298)
- 1869 - Franklin Pierce, Rais wa Marekani (1853-1857)
- 1936 - Munshi Premchand, mwandishi kutoka Uhindi
- 1982 - Philip Noel-Baker, mwanasiasa wa Uingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1959
- 1992 - Willy Brandt, Chansela wa Ujerumani (1969-1974)
Sikukuu hariri
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Pelaja wa Antiokia, Reparata, Felisi wa Como, Evodi wa Rouen n.k.
Viungo vya nje hariri
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 8 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |