Caio Henrique (alizaliwa 31 Julai 1997)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Brazil, ambaye anacheza kama beki pia kama kiungo katika klabu ya AS Monaco na timu ya taifa ya Brazil.

Caio Henrique akiwa na timu ya taifa Brazil mnamo 2017

Marejeo

hariri
  1. "La fiche de Caio HENRIQUE". AS Monaco (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Caio Henrique kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.