"Call Mi Yuh Ruler" ni jina la wimbo uliotoka 26 Agosti , 2017 wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Kenya- Dabby K. Huu ndio wimbo wa kwanza kutolewa tangu kujiunga rasmi na Dapstrem Entertainment. Wimbo umetayarishwa na Mk2 Records

“Call Mi Yuh Ruler”
Kava ya Call Mi Yuh Ruler
Single ya Dabby K
Imetolewa 26 Agosti, 2017
Muundo Upakuzi wa mtandaoni
Imerekodiwa 2017
Aina Dancehall
Urefu 3:36
Studio Mk2 Records
Mtunzi Dabby K
Mtayarishaji Dapstrem Entertainment

Kigezo:DabbyK