Candice Morgan (alizaliwa Lenasia, Johannesburg, Afrika Kusini, 27 Desemba 1980) ni mwigizaji aliyekuwa malkia wa urembo kutoka Afrika Kusini.

Morgan alitawazwa kuwa Miss Deaf South Africa mwaka 2004 katika Jumba la Sanaa la Performer huko Pretoria. Alitawazwa pia kuwa Miss Deaf World mnamo Julai ya mwaka huo huko Prague,Jamhuri ya Czech.[1][2][3]

Marejeo

hariri
  1. Mapa Ishmael Modiba (2004-07-19). "Deaf SA woman scoops world beauty award". Independent Online (South Africa). Iliwekwa mnamo 2019-12-03.
  2. "Is your name Candice? Have a rose | Independent Online News" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2017-11-15.
  3. "She's hard of hearing, but easy on the eye | Independent Online Entertainment" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2017-11-15.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Candice Morgan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.