Praha
(Elekezwa kutoka Prague)
Praha (pia: Praga, Prague tamka: Prag -Kicheki: Praha) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Ucheki wenye wakazi milioni 1.3(2022)[1].
Kutokana na uzuri wa majengo yake ya kihistoria imeitwa "mji wa dhahabu" au "mji wa minara 100".
Jiografia
haririMji uko kando ya mto Vltava katika Ucheki ya magharibi. Kitovu cha mji kipo katika pindo la mto kati ya vilima viwili. Mji umeenea zaidi hadi nyanda za juu za jirani. Ndani ya eneo la mji kuna visiwa kadhaa mtoni.
Milima ya juu karibu na mji inafikia kimo cha mita 381 na 385.
Picha za Praha
haririTazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya Nje
hariri- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 20 Machi 2004 kwenye Wayback Machine.
- Majengo ya Kihistoria Ilihifadhiwa 15 Machi 2007 kwenye Wayback Machine.
- Hoteli za Praha Ilihifadhiwa 16 Machi 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Praha kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |