Candy Moloi
Muigizaji wa kike wa Afrika kusini .
Candy Moloi (10 Februari 1953 - 28 Julai 2020) alikuwa mwigizaji wa Afrika Kusini. Moloi alijulikana kwa jukumu la ‘Vho-Makhadzi’ kwenye uigizaji wa SABC Muvhango.Pia alicheza kwenye uzalishaji wa runinga kuu za SA, zikiwemo Thola, Shakespeare Mzansi na Death of a Queen.[1]
Candy Moloi | |
Amekufa | 28 Julai 2020 |
---|---|
Nchi | Afrika Kusini |
Kazi yake | Sanaa ya uigizaji |
Moloi alifariki Pretoria kwa ugonjwa wa kansa tarehe 28 Julai mwaka 2020. [2][3][1]
Marejeo hariri
- ↑ 1.0 1.1 "Veteran actress Candy Moloi's family 'devastated' by her death after lengthy cancer battle". TimesLIVE.
- ↑ "Actress Candy Moloi has died". July 28, 2020. Check date values in:
|date=
(help) - ↑ "Candy Moloi, veteran actress of Muvhango fame passes away". July 29, 2020. Check date values in:
|date=
(help)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Candy Moloi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |