Jun - Julai - Ago
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 28 Julai ni siku ya 209 ya mwaka (ya 210 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 156.

Matukio hariri

Waliozaliwa hariri

Waliofariki hariri

Sikukuu hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Prokoro, Nikanori, Timone, Parmena, Nikola wa Antiokia, Papa Viktori I, Wafiadini wa Thebe, Akasi wa Mileto, Nazari na Chelsi, Kameliano, Samsoni wa Dol, Botvidi, Melkiori García Sampedro, Petro Poveda, Yakobo Hilari Barbal, Alfonsa Matathupadathu n.k.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 28 Julai kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.