Carola Alexandra Veit (alizaliwa 2 Juni 1973 huko Hamburg ) ni mwanasiasa wa na amekuwa raisi wa Bunge la Hamburg tangu 23 Machi 2011 .

Veit mwaka 2018

Kazi ya mapema

hariri

Amekulia katika wilaya ya Billstedt ya Hamburg, [1] Veit akajifunza uwanasheria kisha akawa mwanasheria.

Kazi ya kisiasa

hariri

Veit alikua mwanachama wa SPD mnamo 1991 na mjumbe wa Halmashauri ya Wilaya ya Hamburg Mitte mnamo 2000. [2]

Tangu mwaka 2004, Veit amekuwa mwanachama wa Bunge la Hamburg kwa SPD. [3] Tangu wakati huo amekuwa akihudumu katika kamati kadhaa kama vile Kamati ya Familia, Watoto na Vijana na Kamati ya Masuala ya Kikatiba. kwenye kikao cha 20 cha bunge (2011–2015) alichaguliwa kuwa Rais wa Bunge la Hamburg . Alichaguliwa tena kwa muhula mwingine, 2015-2020, katika kikao cha 21.

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carola Veit kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Thomas Heyen (April 14, 2015), Landgebiet ist Carola Veit ans Herz gewachsen Bergedorfer Zeitung.
  2. "Carola Veit" (kwa German). SPD. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-14. Iliwekwa mnamo 2016-06-13.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  3. "Carola Veit" (kwa German). SPD. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-14. Iliwekwa mnamo 2016-06-13.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)"Carola Veit" (in German). SPD. Archived from the original on 2020-01-14